Diploma ya Elimu ya Awali

gast123

Member
Feb 25, 2017
36
19
Naomba kuuliza hivi, ni kweli et kuna wanachuo wanaosomea diploma ya elimu ya awali? je kama wapo wataajiriwa na serikali au vip maana kuna mtu kaniambia et kuna wanachuo wanasoma diploma miaka 3 tena ya awali!!!
 
Back
Top Bottom