Diploma ya Development Planning achukue kozi gani ?

kakhulu

JF-Expert Member
Sep 30, 2015
733
1,000
Habari wana JF na mdogo angu ana diploma ya development planning na GPA ya 3.8 unadhani achague kozi gani kwenda bachelor degree?
Msaada wa mawazo yenu , aksante!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom