Diploma ya CO na diploma ya PHARMACY?

Diploma ya CO na diploma ya PHARMACY?

nenda pharm dogo ukawe pharm technician is better maana inalipa na utaokoa mda kufanya vitu vingi zaid.....si tumepita huku karibu
 
Nenda dip in clinical medicine utakuwa umepiga ndege wengi kwa jiwe moja.Dip ya pharm siyo muhimu sana kwani hata usipokuwepo wewe mahali pa kazi anaweza kukaimishwa mtu yeyote hata kama ni form 4 mjanja mjanja tofauti na kada nyingine zote za afya.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
acha kumpoteza mwenzako both zina opportunity sawa ila pharmacy ni nzur zaid maana MD weng kitaa so CO itakupa ugumu kidogo
 
Mkuu nina chemistry C Bios C English C Georaphy C English C History C math F Physics sikufanya Literature B civics C naweza pata pharmacy

Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
 
sikiliza mdogo wangu kwasasa huwez kusema umalize chuo nakuajiliwa serikarini moja kwa moja Mambo yamebadirika Kama ukitaka status mjini soma co Ila Kama upo ktk utaftaj soma pharmacy huwez kupigwa dolo mtaani
 
Back
Top Bottom