Diploma ya CO na diploma ya PHARMACY?

Diploma ya CO na diploma ya PHARMACY?

Trust ME

Member
Joined
Sep 14, 2013
Posts
77
Reaction score
6
Wakuu hapa sasa kichwa kinaniuma kisawasawa cause wizara wamenizngua !
Je ni ipi kati ya hizo faculty yenye ugumu wa kusoma na na kuhusu suala la kujiajiri na kuajiriwa ipi yenye wigo mpana.
Natannguliza shukrani wakuu.
 
Nenda dip in clinical medicine utakuwa umepiga ndege wengi kwa jiwe moja.Dip ya pharm siyo muhimu sana kwani hata usipokuwepo wewe mahali pa kazi anaweza kukaimishwa mtu yeyote hata kama ni form 4 mjanja mjanja tofauti na kada nyingine zote za afya.

Sent from my BlackBerry 9220 using JamiiForums
 
soma ukipendacho,lakini kila kimoja kinafaida tofauti tofauti,zote ni nzuri,ila faida ya clinical medicene unakua multipurpose,vitu vyote unasoma ingawaje sio kwa undani zaidi,pharmacy iko nzuri sana ukifika ngaz ya bachelor,waweza kua mfamasia wa wilaya,oda za dawa za wilaya unatoa wewe,sasa kifisad hapa ndo nakua adv,mi mwenyew nilikua kama wew kipnd naanza kusoma,nilichaguliwa muhas pharmacy,and clnical medcne mafinga,baada ya ushaur wa hapa na pale nilishauriwa kusoma clinical medcne,ndo mwaka wangu wa3 nw namaliza.
 
wakuu me nimechaguliwa barchelor ya physics hapo udom na clinical medicine naomben ushaur wenu wap niende
 
soma ukipendacho,lakini kila kimoja kinafaida tofauti tofauti,zote ni nzuri,ila faida ya clinical medicene unakua multipurpose,vitu vyote unasoma ingawaje sio kwa undani zaidi,pharmacy iko nzuri sana ukifika ngaz ya bachelor,waweza kua mfamasia wa wilaya,oda za dawa za wilaya unatoa wewe,sasa kifisad hapa ndo nakua adv,mi mwenyew nilikua kama wew kipnd naanza kusoma,nilichaguliwa muhas pharmacy,and clnical medcne mafinga,baada ya ushaur wa hapa na pale nilishauriwa kusoma clinical medcne,ndo mwaka wangu wa3 nw namaliza.

mkuu kwani pharmacy unaajiriwa direct serikalini?
 
utaratibu wa sasa hivi,unapomaliza ukipata cheti chako unaomba kazi wizara ya afya kwa kuandika barua,ila pharmacy ni bora usome vyuo vinavyojulikana ambavyo vimesajiriwa na serikal,kuna vyuo vingine havijasajiliwa unaweza ukasoma mbelen ikakusumbua kwenye kazi,kwan pharmacy chuo gan umechaguliwa na medicne chuo gan?
 
SOMA CL.MEDICNE ,hata kama dip utosumbuka kupata kazi,umechaguliwa chuo gan medcn?
 
yap co ndo mpango mzimer me mwenyewe ndo naianza coarse nw pale mwenge.nenda co mkuu.
 
Mkuu Nina biology B chemistry C physics C English C naweza clinical medicine
Hiyo unaenda mkuu.

Ila nakushauri nenda pharmacy ndo dili zaidi.

Ukiwa na degree unaweza ingia mkataba na watu wenye maduka/pharmacy na wanakulipa milioni 1.5 hadi 2 kuweka cheti katika biashara yake na bado unakuwa kuwa mfanyakazi serikalini au private hospital.
So kwa mwezi una si chini ya milion 2.

Mi nashauri hivyo.
 
Mkuu Nina biology B chemistry C physics C English C naweza clinical medicine
Unaenda kabisa, tena baada ya kumaliza miaka yako mitatu soko lake bado litakuwa juu katika ajira za serikali ukilinganisha na kozi zingine za afya ambazo haziajiri watu wengi compare to clinical medicine
 
Back
Top Bottom