Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,184
What of it....??[emoji121]
WAKUU,
MSHAHARA UNAOBAKIA BAADA YA MAKATO YOTE KWA MWALIMU ANAYEANZA NA DIPLOMA
NI
TSH. 418,700/=.
WAKATI BAADA YA 'UFYONDHAJI' WA HII ASILIMIA YETU MPYA HII 15% NA MAKATO MENGINE KWA BABU ZANGU WALIMU WENYE DIGRII WANABAKIWA
NA
TSH. 450,420/=.
----------------
KWA WANAHESABU TULIOKOMAA KWENYE ZILE HESABU ZETU ZA MAGAZIJUTO ZILE
TUKIKOKOTOA KUTAFUTA GEPU LA MSHAHARA LILILOPO KATI YA DIGRII NA DIPLOMA (ZA UALIMU),
TUNAFANYA HIVI
450,420 - 418,700 = 31,720/= TZS.
--------------
HII NDIO RAHA YA KUSOMA MAGAZIJUTO,
HUHITAJI KALKULEITA KUKOKOTOA.
>>Nahisi hata nyodo na misifa ya walimu wa digrii dhidi ya wa diploma wawapo staff kule pande za MBINGA, KALIUA, NANYUMBU, MPANDA, KIBONDO, SAME, MBULU na KWINGINEKO zitaisha tu mwaka huu!!!
Eeeeeeeeeeeeh!!!<<
I SEE,
MTWARA TUNASEMA
"Hii Ngoma Nagwah!"
ILA SERIKALI YETU SIKIVU INGEWAFIKIRIA KIDOGO WATUMISHI WAKE!
DAAAAAAAAAAAAAAAAH!!!!
_____
Nimeipost nikiwa njiani kuelekea Mtwaaaaraaaaaa kwa Sangoma wangu
Awafanye mambo ili jina langu lisionekane kwenye orodha ya wadaiwa!
[emoji28] [emoji28] [emoji28]
//PANDE ZA MTWIZ.//
[emoji124] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469] [emoji469]
[emoji121]Hesabu hukufeli mkuu
[emoji121]What of it....??
[emoji121]>>. Ha ha a ha ha ha ha ha ha ha ha Chomo umenkuna chana kichwani baah somo wepo una akili kama Nkapa >>
I'm team degree but not a teacher, old friend of yours man........,@zipi pznde wa mtwz......, jacko p, bby zu, man shazi, njoki, tande, macow, a man without hears....., i hope u got me nw, mmmmh......??[emoji121]
WEWE NI WA DIGRII AU DIPLOMA?
TUANZIE HAPO.
[emoji121]I'm team degree but not a teacher, old friend of yours man........,@zipi pznde wa mtwz......, jacko p, bby zu, man shazi, njoki, tande, macow, a man without hears....., i hope u got me nw, mmmmh......??
Mkuu nadhani hata kwenye sekta yako baada ya 15% sidhani kama unatofauti kubwa sana na wa diploma!I'm team degree but not a teacher, old friend of yours man........,@zipi pznde wa mtwz......, jacko p, bby zu, man shazi, njoki, tande, macow, a man without hears....., i hope u got me nw, mmmmh......??
Wasife moyo maana makato yanamwisho wake.Mkuu nadhani hata kwenye sekta yako baada ya 15% sidhani kama unatofauti kubwa sana na wa diploma!
Ila nawahurumia na nawapa pole sana wanaokatwa hiyo 15% huku basic salary ni mamia elfu tu na ndio kundi kubwa la waajiriwa wa serikali yetu hasa juniors!
ok!, we were in the sme rum composed of zuber, emilian, tande, njoki...........??[emoji121]
YOU MUST BE A PRODUCT FROM [HASHTAG]#NDABO[/HASHTAG],
BUT I HAVEN'T GOT YA YET.
[emoji121]ok!, we were in the sme rum composed of zuber, emilian, tande, njoki...........??
From mtwiz.....??, you're mistaken hombre, but yec no maybbe.........[emoji121]
THE GUY FROM MTWIZ??
ONE PERSUED PSPA??
RESIDED AT HALL 7??
ARE YOU??
You'd better to delete this comment man, tc too divulging.......[emoji121]
THE GUY FROM MTWIZ??
ONE PERSUED PSPA??
RESIDED AT HALL 7??
ARE YOU??
[emoji121]You'd better to delete this comment man, tc too divulging.......
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] bana wewe mm chichemi maana hata nkee wake anajua>>. Ha ha a ha ha ha ha ha ha ha ha Chomo umenkuna chana kichwani baah somo wepo una akili kama Nkapa >>