Habari zenu...mbona diploma tcu/nacte awatupi maelezo yoyote kuhus matokeo yanatoka Lin..watu wanabun tu Mara tarehe 5 wengne kum adi wengne 15 kwanin wasiwe wawazi maana take kun Baadh vyuo vnaanza orientation weekend huu mf.udsm... Nacte/TCU tuoneeni Huruma tupen jap hata tareh husika... Kwan tumekuwa wavumilivu tangu mwez w tano adi Leo no spefic news for diploma to degree..jion njema kwa wale w kuhus labda kesh tungoje kesh tuone miujiza
