mwenye update za tia lini wana anza masomo kwa ngazi ya stashahada kwa hii march intake 2017
Kwa hyo wale waliowekwa pending wataingia 1 kwa 1 au inabidi waombe tena mkuu..?yah na maombi yanafanyika chuoni ......
DuuH.. Haya mkuu hebu tuone mambo yatakavyokuwa magumu mwaka huu..mambo yote yanamalizikia chuo uchwara wa tcu na nacte ulipigwa stop
Pamoja Kiongozisijuh maamuz ni yao wenyew wew follow instruction