Diploma selection 2018?

zimetoka mkuu.
angalia kwenye profile ako wameweka ujumbe huko.
me nmeomba diploma ila cjafankiwa ndo nataka kujaribu mara ya pili mwisho ni kesho.
 
zimetoka mkuu.
angalia kwenye profile ako wameweka ujumbe huko.
me nmeomba diploma ila cjafankiwa ndo nataka kujaribu mara ya pili mwisho ni kesho.
Wapi? mbona NACTE haifunguki, inaleta msg hii!
HTTP Status 404 – Not Found
Type Status Report

Message /noavs

Description The origin server did not find a current representation for the target resource or is not willing to disclose that one exists.

Apache Tomcat/8.5.16
 
zimetoka mkuu.
angalia kwenye profile ako wameweka ujumbe huko.
me nmeomba diploma ila cjafankiwa ndo nataka kujaribu mara ya pili mwisho ni kesho.
Kwenye profile yangu ipi? Niliotumia kuapply au ni ipi mkuu?
 
Yeah retired, hata mini inaniletea hivyo hivyo
 
Kwenye profile yangu ipi? Niliotumia kuapply au ni ipi mkuu?
me nmeapply udom.
kwenye profile ambayo uliapply kwa mara ya kwanza ukisha-log in utaona ujumbe wako wa kukubaliwa au kutokukubaliwa kujiunga chuo.
 
me nmeapply udom.
kwenye profile ambayo uliapply kwa mara ya kwanza ukisha-log in utaona ujumbe wako wa kukubaliwa au kutokukubaliwa kujiunga chuo.
Kwa mfano mimi niliapply Internet cafe inakuaje hapo kiongozi?
 
Kwa mfano mimi niliapply Internet cafe inakuaje hapo kiongozi?
haina shida mana hata me nliapply huko. kwa kutumia simu yako pia unaweza chek profile ako japokuwa kuna vitu huwez fanya kwenye simu mpaka uwe na pc.
 
usijali ni kawaida ya system ya nacte kusumbua wewe jitahidi kujaribu mara kwa mara
 
Ulidisco? Achana na mitandao wenzako unaowaona humu wanahangaika na siasa mbuzi kama Mungu wako TL na Zitto walimaliza zamani shule! Angalia sasa unesi ulikushinda unaaply saa hii
 
Udom wameanza jana kutoa matokeo ya wanafunzi wa diploma ingia kwenye web yao kijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…