Ezekiel mgonela Member Joined May 22, 2018 Posts 16 Reaction score 4 Sep 7, 2022 #1 Habari wadau,naomba ufafanuzi wa hiyo diploma maana nasikia imeanzishwa mwaka huu katika Chuo cha AMUCTA_TABORA kwa wahitimu wa kidato cha sita.
Habari wadau,naomba ufafanuzi wa hiyo diploma maana nasikia imeanzishwa mwaka huu katika Chuo cha AMUCTA_TABORA kwa wahitimu wa kidato cha sita.
Lucky93 JF-Expert Member Joined Jun 27, 2022 Posts 817 Reaction score 1,674 Sep 7, 2022 #2 Ezekiel mgonela said: Habari wadau,naomba ufafanuzi wa hiyo diploma maana nasikia imeanzishwa mwaka huu katika Chuo cha AMUCTA_TABORA kwa wahitimu wa kidato cha sita. Click to expand... Early childhood hood unasomea kufundisha na kulea watoto wa pre school, special needs education unasomea kufundisha watoto wenye mahitaji maalumu (wenye shida ya kuona au uoni hafifu, wenye matatizo ya kusikia na kuongea na wenye matatizo ya akili)
Ezekiel mgonela said: Habari wadau,naomba ufafanuzi wa hiyo diploma maana nasikia imeanzishwa mwaka huu katika Chuo cha AMUCTA_TABORA kwa wahitimu wa kidato cha sita. Click to expand... Early childhood hood unasomea kufundisha na kulea watoto wa pre school, special needs education unasomea kufundisha watoto wenye mahitaji maalumu (wenye shida ya kuona au uoni hafifu, wenye matatizo ya kusikia na kuongea na wenye matatizo ya akili)
AbouZakariya JF-Expert Member Joined Mar 19, 2013 Posts 1,646 Reaction score 2,402 Sep 8, 2022 #3 Ezekiel mgonela said: Habari wadau,naomba ufafanuzi wa hiyo diploma maana nasikia imeanzishwa mwaka huu katika Chuo cha AMUCTA_TABORA kwa wahitimu wa kidato cha sita. Click to expand... Muhusika anatakiwa awe na sifa gani katika ufaulu
Ezekiel mgonela said: Habari wadau,naomba ufafanuzi wa hiyo diploma maana nasikia imeanzishwa mwaka huu katika Chuo cha AMUCTA_TABORA kwa wahitimu wa kidato cha sita. Click to expand... Muhusika anatakiwa awe na sifa gani katika ufaulu
Ezekiel mgonela Member Joined May 22, 2018 Posts 16 Reaction score 4 Sep 8, 2022 Thread starter #4 Principle pass mbili
Ezekiel mgonela Member Joined May 22, 2018 Posts 16 Reaction score 4 Sep 8, 2022 Thread starter #5 AbouZakariya said: Muhusika anatakiwa awe na sifa gani katika ufaulu Click to expand... Principle pass mbili yaani EE au ED
AbouZakariya said: Muhusika anatakiwa awe na sifa gani katika ufaulu Click to expand... Principle pass mbili yaani EE au ED
kyagata JF-Expert Member Joined Oct 18, 2016 Posts 13,960 Reaction score 26,135 Sep 8, 2022 #6 Msomage vitu vya maana jamani
M Mundele Makusu1 JF-Expert Member Joined Sep 28, 2021 Posts 2,627 Reaction score 3,721 Sep 9, 2022 #7 Ezekiel mgonela said: Principle pass mbili yaani EE au ED Click to expand... Mbili inakuwaga DD .... but asilazimishe kusoma kozi asiyoipenda
Ezekiel mgonela said: Principle pass mbili yaani EE au ED Click to expand... Mbili inakuwaga DD .... but asilazimishe kusoma kozi asiyoipenda
Ezekiel mgonela Member Joined May 22, 2018 Posts 16 Reaction score 4 Sep 9, 2022 Thread starter #8 EE na ED ni diploma mkuu ila Kuanzia DD ndo ngazi ya degree