Diploma in early childhood development with special needs education.

Diploma in early childhood development with special needs education.

Joined
May 22, 2018
Posts
16
Reaction score
4
Habari wadau,naomba ufafanuzi wa hiyo diploma maana nasikia imeanzishwa mwaka huu katika Chuo cha AMUCTA_TABORA kwa wahitimu wa kidato cha sita.
 
Habari wadau,naomba ufafanuzi wa hiyo diploma maana nasikia imeanzishwa mwaka huu katika Chuo cha AMUCTA_TABORA kwa wahitimu wa kidato cha sita.
Early childhood hood unasomea kufundisha na kulea watoto wa pre school, special needs education unasomea kufundisha watoto wenye mahitaji maalumu (wenye shida ya kuona au uoni hafifu, wenye matatizo ya kusikia na kuongea na wenye matatizo ya akili)
 
Back
Top Bottom