Diploma in Diagnostic Radiography

Asante mkuu
Nimekuelewa vizur hii course inaonyesha ni nzuri
Vip kwa maoni yako Diploma ipi nzuri pale MUHAS
 
We jamaa nakutakia maisha marefu sana...ukipotea humu jukwaa hili linapwaya sana...ni msaada mkubwa sana we jamaa
 
Kama kichwa kisemavo hapo juu nimechaguliwa muhimbili ..... naomba kuuliza hi kozi nikisoma diploma ajira zake zipo na nikitaka kuendelea degree nasoma coarse gani degree?
 
radiology unawezaje kujiajiri
ukiwa na Ultrasound machine moja ambayo inafanya vipimo vingi hasa ikiwepo na Doppler na ukapata site nzuri, utapiga ela maana kipimo cha Doppler tu si chini ya Tsh.80,000/= hapo bado wale wa tumbo sijui wamama wajawazito,

Radiology nzuri sana hasa upande wa Ultrasound, lakini kwa mashine zenye kuzalisha RAYS kama x-ray na ct-scan ni hatari tupu....kama mtoto huna ni heri utafute mapema kabla hujaingia kwa miguu miwili kwenye hii fani.
 
Nakwaupande wa ajira je vip
Pharmaceuticals ajira huwezi kukosa, watu lazima waumwe na lazima waende hospitali na lazima wanywe dawa either kutoka hospitalini au Pharmacy.
Radiology nimeeleza hapo juu chief.
 
Unatutisha mkuu
 
Unatutisha mkuu
sikutishi ila nimewaambia ukweri, kama huamini wewe fanya research ya madhara ya x-rays zote uje useme kama nimedanganya.

wewe unadhani kwanini wanashauri mtu usifanyiwe vipimo vya x-rays zaidi ya mara tatu....??

sasa na wewe Radiographer itakuje wakati ndo unaOperate hizo mambo...!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…