tzhumoally
JF-Expert Member
- Mar 20, 2015
- 412
- 156
hivi mtu aliefanya diploma ya radiography anaweza kusoma course gani ya afya kwa level ya degree?..msaada kwa mwenye uelewa
Inategemea sana na matokeo ya form six
Anaweza kuendelea na degree ya diagnostic technology, radiation therapy technology au nuclear medicine technology. Sidhani kama hizi zinatolewa hapo nchi. Hii ni kwa curricurum za hapa university of bahrain. ukiitaji search huwa wanatoa scholarship 10 kwa waislamu kutoka AFRICA KILA MWAKA., UKISHINDWA NITAKUTUMIA SEARCH NITAKUFORWADIA APPLICATIONS.
ok inshallah nitaisearch nikishindwa nitakuambia mkuu..hio radiation therapy ipo hata hapa muhimbili ila tatizo hataki kuendelea na mionzi tena anataka kitu kingine lakin cha afya
Kaka hyo course ina utata japo sio Sana... Ingawa ukimuuliza mtu kuhusu kwao lazma apasifie. Hyo course kwa degree hapa nchini hakuna labda iwepo muda huu. ILA kwa 2013 nilichaguliwa bugando kupiga hayo mambo na ikabidi nikubali kuhama.
Inategemea sana na matokeo ya form six
Anatapiga MD
Atapiga bachelor ya Diagnostic radiography
Atapiga bachelor ya radiotherapy
Atapiga nuclear medicine
Hizo hapo
lakini hio bachelor ya diagnostic radiography na hio nuclear medicine c hamna hapa tz
hivi mtu aliefanya diploma ya radiography anaweza kusoma course gani ya afya kwa level ya degree?..msaada kwa mwenye uelewa
Anaweza kuendelea na degree ya diagnostic technology, radiation therapy technology au nuclear medicine technology. Sidhani kama hizi zinatolewa hapo nchi. Hii ni kwa curricurum za hapa university of bahrain. ukiitaji search huwa wanatoa scholarship 10 kwa waislamu kutoka AFRICA KILA MWAKA., UKISHINDWA NITAKUTUMIA SEARCH NITAKUFORWADIA APPLICATIONS.
Kaka hyo course ina utata japo sio Sana... Ingawa ukimuuliza mtu kuhusu kwao lazma apasifie. Hyo course kwa degree hapa nchini hakuna labda iwepo muda huu. ILA kwa 2013 nilichaguliwa bugando kupiga hayo mambo na ikabidi nikubali kuhama.
Radiation Therapy hii ni kozi inahusika na kutibu kwa kutumia Mionzi!! Tanzania ni pale Ocean Road na inatolewa muhimbili tuu kwa Degree!!! Uwe umepiga PCB advance na una one au 2 ya mwanzo!!tofauti ya
Radiation therapy,Diagnostic radiography,nuclear physics na Radiology ni ipi?
Msaada danya