Diploma And Certificate Job Opportunities

Kahtan Ahmed

JF-Expert Member
Aug 24, 2011
765
489
Habari wana JF kwa yoyote aliemaliza Diploma au Certificate ya Information Technology au inaofanana na hiyo anaeishi Dar Es Salaam na hajapata kazi naomba awasiliane moja kwa moja 0712 212 220, vijana wa kiume ndio wanaohitajika kwa wingi.
 
kwa wale wanaonitumia message kama nafasi zipo, nafasi zipo mpaka nitakapoandika hapa kua nafasi zimejaa, kwa kiufupi wanahitajika vijana wengi kidogo,
 
jamani nashukuru sanna nimepata vijana na kuanzia leo basi nimetosheka idadi niliokua nimetaka imekamilika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom