Mi hua sishiriki hayo mambo sana, japo nlikuzwa kwenye misingi ya Imani nlipofika kidato cha kwanza nikaambiwa amua ww nikasema npo kama sipo, naweza kaa miaka mitano nikazama Chachi mara mojaTutoe tu mangi???
Haloooo ukishiriki sana haya mambo unakuwa huna mipaka ya kutoa pesaMi hua sishiriki hayo mambo sana, japo nlikuzwa kwenye misingi ya Imani nlipofika kidato cha kwanza nikaambiwa amua ww nikasema npo kama sipo, naweza kaa miaka mitano nikazama Chachi mara moja
Sasa wewe kenge unalalamika nini?Nimejiuliza swali moja tu mimi kama baba mlezi mtoto alifika hatua ya kipaimara, nikaambiwa eti nitoe shilingi elfu 25,000 ili mtoto akae pamoja na askofu. yaani yeye askofu anakuja kukaa na watoto hiyo siku ya kipaimara wanakula pale sahani ya wali na soda na stori mbili tatu afu imeisha hiyo....mimi kipaimara changu hakikuwa hivi sasa hii elfu 25 ni ya nini.....????
Hili linafurahisha sana ila uislamu lazima pia wachunge wasiingiliwe na tamaa za makanjanja....ukiristo kwaujimla wake ni biashara.dini yaukweli niuislamu
kunakanisa mahalo mchungaji kuonana namuumini sikuambayo Sio yaibada ni elfu 60 nawaumini wanajazana Hadi wengine wanakosa nafasi yakumuona.
Sasa najiuliza mchungaji kashindwa kuwaombea kawaida Hadi aonane Nao mmojammoja?Tena kwaelfu sitini🤣🤣🤣
Mimi ni romani ila siku hizi hakuna tofauti na kina kuhani musa.Walokole wa kushambulia Roman Catholic hamjambo mnakuja kujisahau kwamba wote mko kwenye the same boat mnamshirikisha Mungu wote ni washirikina af wapigaji kwa waumini wenu.