Dini zenye wafuasi wengi Duniani

Wewe Huku Ndo Ulikuwa Unaelekea Sema Uliamua Kuzunguka Kidizaini Kama Nimeanza Kuwashtukia Raha Yenu Kuutukana Uislamu Na Waislam Basi.
Mimi post yangu iko neutral, ila nyie ndio mnataka kufanya iegemee upande
 
Hakuna hata dini moja iliyoanzia america au africa na Europe?
 
Uzi mzuri sana
 
Kumbuka wana mke mmoja,lakini vimada mia moja
 
Usimsahau Askof Kibwetere,wa Uganda,aliyewachoma moto kanisani,wafuasi wake,maelfu,kwa kusema ameoteshwa na Maria,mama wa Yesu.Mbali ya makaburi ya eliowaua.
2.Vita vya wakatoliki na waprotestan Ireland ya kaskazini,maelfu waliouwawawa,na wengine kuwa vilema.
 
Ni sahihi... Imani zote ukizielewa vizuri na kuzifuata kwa Akili ni Nzuri sana, ila Imani hizo hizo ukiziendea kwa Pupa unaangukia Pua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…