Dini za wakoloni

Pasta Joshua

Member
Joined
Aug 2, 2020
Posts
23
Reaction score
131
Umeshawahi kujiuliza ni kwanini waliotuletea ukoloni na kutuuza utumwani ndio hao hao waliotuletea dini ?

Walitufundisha kusali tukiwa tumepiga magoti na tumefumba macho ,tulipofumbua tulikuwa na biblia na msaafu mkononi ,wao wakiwa na rasilimali zetu.

Walitufundisha ukondoo wa kukubali hadi visivyokubalika,ukipigwa shavu lakushoto ugeuze na la kulia na akunyanganyaye kanzu usimkatalie na joho ,Ili wabaki salama wakatufundisha kusamehe 7*70

Walituaminisha dini zao ni Bora zaidi kuliko zetu na wakapanda mbegu ya utengano miongoni mwetu Ili tusiweze kuungana dhidi yao .Leo hii tunavurugana, mkristo anajiona bora kuliko muislamu na muislamu anajiona bora kuliko mkristu.

Michezo
 
Mkristo ndo anajiona Bora kuliko muislam tena wanajiona wasomi Kwelkwel kushinda waarabu sio sisi nyani wenzio wa kiislam bali waarabu.

Sasa angalia nchi zao zilivyomaskini kulko hao waarabu wasio na akili
 
Umeona sasa hapa wewe ni muislam tayari ushachagua upande hizi dini ni za wakoloni hakuna bora Kati yao
 
Waislam ndio hujiona bora kuliko wakristo kwa kuwaita makafiri, wakristo hawana chuki hizo, ni upendo na amani
 
Kipaumbele cha kwanza kwenye hii nchi, iwe kuzifutilia mbali dini zote.. Maana ni ujinga mkubwa 😕
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…