Wamewezaje kuingia makanisani??Hivi hujiulizi kwanini imani hizo haziibukii kwenye makanisa ya zamani eg. Catholic.
Kanisa hasa imani hizi za pentecoste zimevamiwa na waabudu shetani Masons, illuminat na occultism. Ingawa hizo zote ni department tofauti ila founder wake ni mungu wa dunia hii ambaye mission yake kubwa ni kuua, kuharibu na kuangamiza. Yeye hana shida na dhehebu lako ila anashida na imani yako. Biblia inasema, hawa chalartans watakuwa na nguvu ya ukengeufu na watapotosha wengi yamkini hata wateule.