Dini ya ukweli ni ipi?

Ni sawa awepo mwanaume alafu asiwepo mwanamke

Usiku bila mchana
Unajuaje hakuna ulimwengu mwingine kwenye "galaxies" zaidi ya bilioni 200 ulimwenguni ambapo viumbe hawana jinsia yoyote?

Ziko sayari nyingi tu huko ulimwenguni ambazo hazina usiku na mchana.
 
Aina hii ya tafakari ni kama mtu anafanya usafi anasukumia vumbi uvunguni naye atatoka aseme amefanya usafi.

Au kiongozi kakaa kusikiliza shida za muda mrefu za watu kisha akasimama akasema msijali nitatatua shida zenu zote. Huyo anaondoka. Watu wanabaki na shauku ya muda mfupi ya kuhisi ukombozi umekuja.

Me sijui huo ubudha umekufikisha wapi, me umeniacha njiani. Haujanifikisha popote. Haujaniridhisha. Pun intended.

i) Hizo sheria zenye msumeno zimewekwa na nani / nini? Kwanini uko chini ya sheria hizo?

ii) Umeanza tu ukipata shida ufanyeje...why unapata shida in the first place? Kwanini hupati raha, furaha, amani tu bila jitihada yoyote?

iii) Umerukia tu hamna kuabudu hamna kuabudu, kwanini uko against na kuabudu? Kwanza kuabudu ni nini na kwanini ume represent kama ni kitu kibaya?

iv) Kwanini unafikiri sasa ndo ya muhimu kuliko baadaye? ? Je kweli tukichunguza maisha yako unaishi kwa kuangalia sasa tu? Hufikirii baadaye kabisa? Au wewe baadaye ya kifo ndo huoni kama ni muhimu. Ya muhimu ni baadayecya kesho na miaka 10,50 tu ijayo?

v) umesema watu wengi hufeli maisha kwasababuflani flani? Kufaulu na kufeli maisha tunazitambuaje? Hivyo viwango kaviweka nani?

v) Mwisho Ukriso ni mualiko wa kibinafsi kutoka kwa Muumba kwenda kwa kiumbe wake.

Ukristo ni mahusiano.

Jifunze kutoingilia mahusiano ya watu! !
 
Hakuna ushahidi wa maisha mengine ya "baadaye" ukifa.
 
JESUS IS LORD!

MAKE WAY FOR THE KING OF KINGS
๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 

UNACHUKI NA UISLAM WEYE.

Suratul Aal-Imran 3:85
ูˆูŽู…ูŽู† ูŠูŽุจู’ุชูŽุบู ุบูŽูŠู’ุฑูŽ ุงู„ู’ุฅูุณู’ู„ูŽุงู…ู ุฏููŠู†ู‹ุง ููŽู„ูŽู† ูŠูู‚ู’ุจูŽู„ูŽ ู…ูู†ู’ู‡ู
โ€œNa anayetafuta dini isiyokuwa Uislamu, basi haitakubaliwa kwake.โ€
 
Unajuaje hakuna ulimwengu mwingine kwenye "galaxies" zaidi ya bilioni 200 ulimwenguni ambapo viumbe hawana jinsia yoyote?

Ziko sayari nyingi tu huko ulimwenguni ambazo hazina usiku na mchana.
Maelezo yangu yapo upande wa Duniani na sio kwenye Ulimwengu.
 
sisi je
https://www.jamiiforums.com/threads...otent-singularity-imeandaliwa-na-iit.2483819/
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ