Hawa jamaa wanapendaga wao ndo waoe dada zetu ila wa kwao duh! BTW naona watu wengi mnashauri kirahisi zaidi kama hamna ndugu au jirani hata rafiki aliyekumbwa na tatizo hili. Mi huwaga nasema tu kama unaona wazazi wako ni conservatives ni bora ukatafuta wa mrengo wa kwenu kupunguza ghasia.