Dini kwenye mapenz

Joined
Sep 2, 2013
Posts
10
Reaction score
2
Hivi ukapata mpenz, dini ikawa tofauti. Je? Ni nani anatakiwa kufuata dini ya mwenzake;
A. Mwanamke
B. Mwanaume
 
Inategemea na makubaliano yenu! Tatizo linakuja pale mnapoingia kwenye mahusiano bila kuliona hilo suala la dini kwamba ni la muhimu, inapokuja kufunga ndoa ndio mnataka mrudi kurekebisha mambo ya dini wakati mmeshafika mbali kwenye mahusiano. Mara nyingi inakua na migogoro sana.

First things First......
 
Anayetakiwa kufwatwa ni Mungu. Mungu wa kweli kama anavyotajwa katika Biblia.
 
Biblia inatufundisha kama una mke au mume asiyeamini usimwache kwasababu huenda akamjua Mungu kupitia wewe na hivyo ukawa umeiokoa nafsi yake, kwa watoto wa bi mdogo wao wanasema asiyeamini (muislamu) ni kafir, hastahili kuwa nao karibu! na akijaribu binti kubadilisha dini, basi atatengwa na familia na hata akastahili kuchinjwa! pagumu eee? labda wewe mwanaume ndo ubadili dini kwakuwa ndugu zako hawatakutenga na watamuomba mungu aitetee nafsi yako ili ubadilike na wataishi nawe kwa upendo. (remember in the Bible there is alot of "LOVE, LOVE, LOVE " words! love thy enemy, neighbor etc....!
 
mh hapa kla mtu atatetea dn yk badala na knachohusika

MUNGU TUSAIDIE tusifike huko

af haya mambo km siasa vle kla mtu anavutia kwake

kuhusiana na mada, hapo ni maelewano ya wawili yeyote anaweza kumfuata mwenzie kutokana na makubaliano yao coz wote tunaamini katika MUNGU MMOJA
 
angalia degree of deflections ya mapenzi yenu na wala huwezi kuuliza ni chatu kwa mbwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…