SMU JF-Expert Member Joined Feb 14, 2008 Posts 9,613 Reaction score 7,901 Oct 6, 2010 #21 Msanii said: Aliwahi kuwa mwanaume zamani? Click to expand... Yaani JF kuna burudani...Lolz:A S 13:
minda JF-Expert Member Joined Oct 2, 2009 Posts 1,068 Reaction score 67 Oct 6, 2010 Thread starter #22 Akili Unazo! said: mbona siioni hiyo sura nzuri? Click to expand... beauty is in the seer.
chishango JF-Expert Member Joined Feb 20, 2009 Posts 854 Reaction score 362 Oct 6, 2010 #23 hana uzuri wowote may ni personal interest
Samawati Member Joined Oct 6, 2010 Posts 90 Reaction score 71 Oct 6, 2010 #24 Kizuri chako, kibaya cha mwenzio
minda JF-Expert Member Joined Oct 2, 2009 Posts 1,068 Reaction score 67 Oct 6, 2010 Thread starter #25 kuhusu uzuri nakiri haya: binadamu wote ni wazuri kwa maana ya uzuri lakini kwa maana ya sura nzuri lazima tukubaliane kwamba wengine wana sura nzuri kuliko wengine. uzuri ni relative na ndio maana hata mdada akimpenda msela mwenye jicho moja (chongo) huishia kubwatuka, 'ah kengeza huyo!'
kuhusu uzuri nakiri haya: binadamu wote ni wazuri kwa maana ya uzuri lakini kwa maana ya sura nzuri lazima tukubaliane kwamba wengine wana sura nzuri kuliko wengine. uzuri ni relative na ndio maana hata mdada akimpenda msela mwenye jicho moja (chongo) huishia kubwatuka, 'ah kengeza huyo!'
Sajenti JF-Expert Member Joined Apr 24, 2008 Posts 3,651 Reaction score 414 Oct 6, 2010 #26 SILENT WHISPER said: hizo picha ni za mtu mmoja ama tofauti...? manake wawili wazuri na wawili hmmmmmmm....! Click to expand... ...MI naona kama huyo wa kulia mwenye mahereni ya rangi pink wala hawafanani na huyo Dina kiasi uzuri hauonekani kabisa!:A S 13::hand:
SILENT WHISPER said: hizo picha ni za mtu mmoja ama tofauti...? manake wawili wazuri na wawili hmmmmmmm....! Click to expand... ...MI naona kama huyo wa kulia mwenye mahereni ya rangi pink wala hawafanani na huyo Dina kiasi uzuri hauonekani kabisa!:A S 13::hand:
njiwa JF-Expert Member Joined Apr 16, 2009 Posts 13,258 Reaction score 7,101 Oct 6, 2010 #27 mbona kama khadija kopa!
K kiparah JF-Expert Member Joined Sep 7, 2010 Posts 1,173 Reaction score 117 Oct 6, 2010 #28 minda said: kwa hakika mungu amemjalia huyu dada sura nzuri!!!!!! Click to expand... Aiseeeeeeee!
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,931 Oct 6, 2010 #29 SILENT WHISPER said: hizo picha ni za mtu mmoja ama tofauti...? manake wawili wazuri na wawili hmmmmmmm....! Click to expand... Hivi ziko nne au tatu?
SILENT WHISPER said: hizo picha ni za mtu mmoja ama tofauti...? manake wawili wazuri na wawili hmmmmmmm....! Click to expand... Hivi ziko nne au tatu?
Mwanamayu JF-Expert Member Joined May 7, 2010 Posts 11,701 Reaction score 6,931 Oct 6, 2010 #30 Bigbro said: Aiseeeeeeee! Click to expand... Huyo mnene ni mama yake Dina!!!!!
Junius JF-Expert Member Joined Mar 11, 2009 Posts 3,180 Reaction score 149 Oct 6, 2010 #31 Msanii said: Aliwahi kuwa mwanaume zamani? mbona sura yake ime......? Click to expand... Heshima kitu cha bureee jamani....nani kakamilika 100%?
Msanii said: Aliwahi kuwa mwanaume zamani? mbona sura yake ime......? Click to expand... Heshima kitu cha bureee jamani....nani kakamilika 100%?
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,428 Oct 6, 2010 #32 LeopoldByongje said: Ndiyo alikuwa mzuri. Lakini sasa kajiachia na uzuri unapungua kadiri anavyozidikunenepeana. Mshauri apunguze unene huo. Kwanza si jambo zuri kiafya. Click to expand... Wengine tunapenda wanene ndio maana kuna wanene,wembamba,wafupi,warefu ili kila mtu apate chaguo lake.
LeopoldByongje said: Ndiyo alikuwa mzuri. Lakini sasa kajiachia na uzuri unapungua kadiri anavyozidikunenepeana. Mshauri apunguze unene huo. Kwanza si jambo zuri kiafya. Click to expand... Wengine tunapenda wanene ndio maana kuna wanene,wembamba,wafupi,warefu ili kila mtu apate chaguo lake.
U uporoto01 JF-Expert Member Joined May 23, 2008 Posts 4,698 Reaction score 1,428 Oct 6, 2010 #33 Junius said: Heshima kitu cha bureee jamani....nani kakamilika 100%? Click to expand... Kula tano mkuu, kuna Grants yako hapo kaunta nimeacha maagizo.
Junius said: Heshima kitu cha bureee jamani....nani kakamilika 100%? Click to expand... Kula tano mkuu, kuna Grants yako hapo kaunta nimeacha maagizo.
Dreamliner JF-Expert Member Joined Jan 17, 2010 Posts 2,034 Reaction score 214 Oct 6, 2010 #34 Analipa...
Maria Roza JF-Expert Member Joined Apr 1, 2009 Posts 6,802 Reaction score 1,606 Oct 6, 2010 #36 kawaida kwangu
BelindaJacob Platinum Member Joined Nov 24, 2008 Posts 6,494 Reaction score 4,076 Oct 6, 2010 #37 FirstLady1 said: akija bj atakwambia vingine preta kweli naona kila mtu na mtizamo wake Click to expand... Ha ha Firstlady, bibie akianza kuongea huyo acha tu!kama ulivyosema,mitazamo tofauti!
FirstLady1 said: akija bj atakwambia vingine preta kweli naona kila mtu na mtizamo wake Click to expand... Ha ha Firstlady, bibie akianza kuongea huyo acha tu!kama ulivyosema,mitazamo tofauti!
father-xmas JF-Expert Member Joined Mar 23, 2010 Posts 982 Reaction score 1,127 Oct 7, 2010 #38 ni mzuri.......................! mnaomponda leteni picha zenu tuzione..............!
manofpeople New Member Joined Oct 6, 2010 Posts 4 Reaction score 0 Oct 7, 2010 #39 ebwana dah kweli yuko so cute hata ww utatamani awehata aunt yako 2
Spear JF-Expert Member Joined Jun 21, 2008 Posts 507 Reaction score 31 Oct 7, 2010 #40 Mie nimependezewa na hizo nywele za Singa