mkonowapaka
JF-Expert Member
- Feb 19, 2010
- 1,492
- 772
Clouds kama ccm ukiwa maarufu wanakuza
dina marios kila la kheri bado millard
millard ataondoka cloudz mana wale jamaa ni wanyanyasaji na wanyonyaji cloudz watu wanakuza jina tu ila sio sehemu ya kuka ileMillard hawezi kuondoka pale. Pale ndo panapoikuza tasnia yake.
Eeee babuuuu :heh::heh:Demu lina miuno hili walaaah daaaaah...
millard ataondoka cloudz mana wale jamaa ni wanyanyasaji na wanyonyaji cloudz watu wanakuza jina tu ila sio sehemu ya kuka ile
Demu lina miuno hili walaaah daaaaah...
Huyu dada alikua mtangazaji mzuri sana Clouds Fm kipindi cha Leo Tena.
Aliacha mda mrefu bila sababu za msingi sana.
Namkubali sana huyu dada namtakia kila la heri huko