Dili poa.

Dili poa.

M.E.M.A

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2013
Posts
1,373
Reaction score
472
Nahitaji GX100 1G kwa kubadilishana na hii Suzuki Wagon R. Ina CC 660, Manual transmission. AC ipo safi japo sasa gesi imeisha. Km 145,000 mpaka sasa hivi ninapoandika uzi huu., milango minne.

Sababu ni kuwa kwa matumizi yangu inaniwia ngumu. Safari nyingi na hii inanichosha njiani..naamini mnanielewa.

Marekebisho kidogo yapo..hasa kwa windscreen imepata crack, na hako kataa ka nyuma.

Karibuni sana.
 

Attachments

  • 1390573587705.jpg
    1390573587705.jpg
    117.7 KB · Views: 151
  • 1390573699257.jpg
    1390573699257.jpg
    60.8 KB · Views: 157
  • 1390573768470.jpg
    1390573768470.jpg
    87.7 KB · Views: 150
Interior baada ya kuoshwa
 

Attachments

  • 1390580024888.jpg
    1390580024888.jpg
    28.8 KB · Views: 117
Picha zenyewe nusu nusu, toa full car outsider view, na ndan pia!
 
Walio serious wani pm tafadhali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom