Wakuu nimetumia ustaarabu na uzalendo mkubwa kwa ndugu zangu Watanzania juu
ya hili dili, nasikitishwa na wale wanaoniponda kwani sina sifa hizo najua kama yeyote
atafanikiwa basi ni mafanikio ya ndugu zangu Watanzania kwa sasa niko Mozambique na hizo
namba ni za huko naomba kama mtu atapiga apige kesho mchana. NB hayo maeneo yako mozambique pia
SINA LA ZAIDI.