Dilemma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Dilemma

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Ijuganyondo, Jan 16, 2011.

 1. I

  Ijuganyondo Member

  #1
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanajamii naombeni mnishauri nifanyeje,kuna msichana mmoja nilikuwa nampenda previously but baadae tulihitilafiana nikamtema na nikampata nnae mpenda saaana.Sasa huyu wazamani anacomplain sana na anadai hajawahi kumpenda mwanaume kwa kias alichonipenda mimi na ni kweli maana tangu tuachane 2years ago wanaume kibao wamemtokea na nina evidences lakin kawatosea,so nifanyeje wakati me nampenda zaid yule mwingine??help me please a'm starving!
   
 2. s

  shosti JF-Expert Member

  #2
  Jan 16, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 4,949
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 145
  huzuni mpaka basi,kama humpendi usiendelee kumuumiza mwache tu baada ya muda atarudi katika hali ya kawaida
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Mwambie ukweli tu kwamba haiwezekani na wasichana wengine wana moyo duh miaka 2 badoo tuu!
   
 4. I

  Ijuganyondo Member

  #4
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  nishamwacha na kumwambia but she hates me mpaka siombi kukutana nae!
   
 5. I

  Ijuganyondo Member

  #5
  Jan 16, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  sio moyo Mary,its the real&true love!
   
 6. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #6
  Jan 16, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Sasa tatizo liko wapi hapo???Kama umemwambia humtaki na una mtu wako achana nae!!!Atachoka mwishowe atasonga mbele!!!!
   
 7. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #7
  Jan 16, 2011
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,773
  Likes Received: 103
  Trophy Points: 160
  Kapenda asipo pendeka kazi kwake
   
 8. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #8
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,318
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Hw can you prove it,,ulishawahi ingia moyoni mwake? ukajua kuwa ni true love??
   
 9. Chapa Nalo Jr

  Chapa Nalo Jr JF-Expert Member

  #9
  Jan 16, 2011
  Joined: Dec 8, 2010
  Messages: 6,370
  Likes Received: 3,203
  Trophy Points: 280
  Namuunga mkono huyo msichana aliyeachwa; ki kanuni ni vema ukiachwa/achana na mpenzi wako usikurupuke kuingia kwenye uhusiano mpya, vuta subira angalau hata mwaka. Ukifanya pupa unaweza amua kwa hasira ya kutaka kumuonyeshea ulieachana nae badala ya kutafuata penzi la kweli( ingawa ni vigumu kujua kuwa hapa ndio penzi la kweli, lakini inasaidia kufanya maamuzi sahihi ukiwa umetulia)
   
 10. Lady N

  Lady N JF-Expert Member

  #10
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2009
  Messages: 1,919
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  yah, ni kweli kabisa.

  yaelekea alifanya maamuzi kwa hasira akatumbukia kwenye mapenzi na binti mwingine ambaye hata hivyo haamini kama anapendwa kwa dhati na huyo binti, "sred yake ya jana"
   
 11. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #11
  Jan 16, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Wachukue wote..!
   
 12. Desidii

  Desidii JF-Expert Member

  #12
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 1,212
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Jamani mapenzi yananitatizaaa eehhh Jamani mapenzi yananitatizaaa eehhh kulala siwezi, kula siwezi chakula nakiona sumuuuu!!!! Hapo chacha
   
 13. Husninyo

  Husninyo JF-Expert Member

  #13
  Jan 16, 2011
  Joined: Oct 24, 2010
  Messages: 23,814
  Likes Received: 583
  Trophy Points: 280
  upo sahihi kabisa. Tena bora awe na huyo aliyemuacha maana anaweza kujifunza kumpenda kuliko aende kwa huyo mpya akute ni kasheshe na songombingo.
  Hebu aangalie sababu zinazomfanya asimpende. Jamani msipende kuumizana. Mi nakupenda we hutaki!! Lol!
   
 14. Zipuwawa

  Zipuwawa JF-Expert Member

  #14
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 28, 2010
  Messages: 3,052
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 145
  Hujapenda wewe..
   
 15. afrodenzi

  afrodenzi Platinum Member

  #15
  Jan 16, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 18,135
  Likes Received: 2,398
  Trophy Points: 280
  kama umpenda sasa naye anakupenda..
  walahata usiangalie nyuma...
  thats life and life is misty..

  lakini kama umependae sasa hakupendi
  hapo anza kuwa faster faster...
   
Loading...