Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 19,986
- 41,260
Aiseeee hiii Dunia mbinguni peponiiiii tutafika tumechokaa SANAAAAAA π€ π€ π πBasi bwana kipindi Niko mama kija
Nilikuwa napenda kitimoto hatari
Baba k ni muislam
Basi nilikula kitimoto hatari
Nikionaga dogo anaenda msikitini na babake huwa nacheeka.wangejua???
Njoo kipenziNielekezwe nije niwe mgeni wakoo kwa keshoo ππ
Unajua food cravings za ujauzito dokta??Aiseeee hiii Dunia mbinguni peponiiiii tutafika tumechokaa SANAAAAAA π€ π€ π π
Wanaume wengi nimegundua hampendi michuzi. ndo maana wengi mnakula barHapo kwenye chipsi samaki ,napapenda mno ila hapa kwa ugali na nyama sikawii kurudisha chenji ikiwa niko maji kaka
Nakuja kweriiiii πNjoo kipenzi
Njoo saa nne hivi
Una mlisha ostaaz kitimoto akiwa tumboni....Unajua food cravings za ujauzito dokta??
Huwezi resist aisee
Yaani siku wakijua
Mwenyewe ndo alikuwa anataka.yaani tena asubuhi asubuhiUna mlisha ostaaz kitimoto akiwa tumboni....
Haaahaa π π
Ulitumia mbinu gani kuipata?Mwenyewe ndo alikuwa anataka.yaani tena asubuhi asubuhi
Makange.alipenda Sana na ugali yaaniUlitumia mbinu gani kuipata?
Roast au kavuuu
AiseeeeMakange.alipenda Sana na ugali yaani
Wali na nyama zingine kuona Tu ilikuwa kichefuchefu hatare
Hiki ndicho chakula cha mtu mmoja!