damian marijani JF-Expert Member Joined Jan 31, 2010 Posts 695 Reaction score 466 Aug 27, 2013 #2 hapo mafesibuku na udaku bila shida
Mtende JF-Expert Member Joined Sep 27, 2010 Posts 6,385 Reaction score 7,336 Aug 27, 2013 #3 hahaha keli digitali hiyo
kadakokigondile JF-Expert Member Joined May 17, 2013 Posts 1,872 Reaction score 635 Aug 27, 2013 #5 Kwa wakati tulio nao hivi ni vitu vya kawaida, kuna vitu vya digital huwezi kuamini vinavyofanya kazi kwa mfano kuna magari ukiwa na funguo ya gari inayotumia finger prints mtu mwingine haiwashi hata afanye vipi mpaka umuwashie mwenye hiyo funguo
Kwa wakati tulio nao hivi ni vitu vya kawaida, kuna vitu vya digital huwezi kuamini vinavyofanya kazi kwa mfano kuna magari ukiwa na funguo ya gari inayotumia finger prints mtu mwingine haiwashi hata afanye vipi mpaka umuwashie mwenye hiyo funguo