Digital video creator for sale | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Digital video creator for sale

Discussion in 'Matangazo madogo' started by TZ biashara, Mar 17, 2012.

 1. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #1
  Mar 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Dazzle Digital Video Creator DVC 80
  Dazzle DVC 80 (2): Dazzle Digital Video Creator 80 is an external, USB video transfer cable for anyone, with any type of camcorder, who would like to get started editing digital video on the PC. Dazzle DVC80 also includes Pinnacle Studio QuickStart for fun and easy movie making. Capture your footage, make your movie and burn to CD or DVD.
  Read more at Download Dazzle DVC 80 2.0.19

  Hii sio kamera hii kazi yake ni kutransfer video yoyote kutoka kwenye kamera yoyote au vcr kwenda kwenye pc au computer ambapo unaweza ukaitengeneza video hiyo na kuiweka kwenye dvd au cd.

  Digital Video Creator
  The Ultimate Video Connector for Camcorders
  -Capture Video with Pinnacle Studio Quick Start.
  -Share Video Using Internet CD or DVD

  Inafanya kazi na Camcorder yoyote pamoja na VCRs.
  Imetumika kwa kuijaribu tu kwahiyo naweza kusema ni mpya au karibu na mpya.
  Bei yake ni Tsh 80,000
  Contact Habibu 0717810318
  Ipo Uingereza na nategemea baada ya wiki moja itafika. P1000034.JPG
   
 2. twatwatwa

  twatwatwa JF-Expert Member

  #2
  Mar 18, 2012
  Joined: Sep 19, 2011
  Messages: 2,036
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Iyo kamera au nini ? Inatumikaje ? Mkuu nielimishe
   
 3. TZ biashara

  TZ biashara JF-Expert Member

  #3
  Mar 19, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 523
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Hii sio kamera hii kazi yake ni kutransfer video yoyote kutoka kwenye kamera yoyote au vcr kwenda kwenye pc au computer ambapo unaweza ukaitengeneza video hiyo na kuiweka kwenye dvd au cd
   
 4. NEXTLEVEL

  NEXTLEVEL JF-Expert Member

  #4
  Mar 19, 2012
  Joined: Jan 19, 2012
  Messages: 856
  Likes Received: 320
  Trophy Points: 80
  mkuu 70,000 nitatoa,so naomba iweke kwenye Professional camera iwe 1870000.
   
Loading...