itategemea na utatumia program gani ya kompyuta ya editing itakayoendanda na camera video yako. yaani utakayoweza ku-connect na ku-download video kwenye kompyuta kwa ajili ya ku-edit.KUNA CAMERA NZURI ZA SONY, PANASONIC kuanzia laki 6.

Ingia hapa chagua kisha unawea kutembelea maduka ya cameras popote ulipo na kupata kwa bei kuanzia laki 5 na kuendelea na pia used zipo hadi laki 350,000 hapa bongo.
lakini kama unataka kufanya kazi kubwa inabidi uwe na camera ya maana kuanzia 2m na kuendelea