Hahaha!! sasa mnajiita watoto wa Nyerere, na Wabongo watajiita watoto wa nani.
Mtu aliyesoma anafahamika hata akiandika kwa Kiswahili, muhimu ni analysis yako uitoe na kuipanga vizuri. Ila kilaza kama wewe upo tu magumashi kwenye lugha zote, haupo sawa Kiswahili na Kingereza ndio haupo kabisaa!
Pili nikuelimishe kidogo, Kiswahili na Kingereza ni lugha za kubuniwa, Kiswahili sio asilia ya Mwafrika, kilibuniwa kwa kuchanganya lugha nyingi ikiwemo Kiarabu. Ufahamu hata jina Swahili lilitokana na neno la Kiarabu sahil