Mkuu ipo smart camera ya samsung galaxy ina wifi inatumia line yoyote ya simu ni kama smart phone application nyingi uzipatazo kwenye s3 zimo humu ni pm kama uko serious bei tsh 850,000/= ni mpya kwa cheki dukani bei yake kwa sasa ukinganishe na bei yangu