Dah kumbe nchi hii bado tuna watu waungwana,kaka jiunge na Chadema halafu ugombee ubunge wewe kwenye kampeni yako sema niliokota digital camera na nikairudisha je ni nani ambaye angeweza kufanya hivyo?kurfa yangu tayari unayo mahala popote uendapo
Nope Mimi nimepoteza sehemu nyingine Either City Centre au Kariakoo... ni Key Moja Holder yake na car alarm remote... nilienda Hotel ya The Chief Pride Wakanionesha aina Nyingine ya Funguo.. kama mtu mwngine alipoteza aende pale kuulizia Upo
Bora akae nayo kuliko wale jamaa niliwahi kuzungushwa na simu yangu wakati fulani pale msimbazi hadi nikajuta wakati evidence ninazo na aliyeiba vitu vyangu yupo ndani. Swala lingine aliyepoteza anaweza kwenda kutoa taarifa kituo A cha police na aliyeokota akatoa taarifa kituo B lakini kati yao wasiwe na uwasiliwishwaji wa taarifa ktk vituo mbalimbali
Canon Digital Camera imeokotwa tarehe 10/07/12 saa 11 jioni maeneo ya Ubungo stand ya Mlandizi, mwenyewe alitafutwa kwa muda huo haukupatikana. Tafadhali kama kuna mtu anamjua aliyepoteza Camera tuma comment tafadhali