Diffused multnodular goita maana yake nini?

malembeka18

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Posts
3,918
Reaction score
4,709
Habar wakuu majibu yavipimo diffused multnodular goita maana yake nin
 
Vivimbe vilivyosambaa kwa eneo kubwa ndani ya tezi la thyroid la mgonjwa mwenye goitre.
Hivo vivimbe husababishwa na nin naje vivimbe kwenye Hilo tezi huwa vinapungua na tezi kurud kawaida
 
Nawale tunaoskia wamefanyiwa operation ya goita ndo wanakuwa wametolewa hiyo Tezi thyroids au ni wametole nyama ya uvimbe imeota nje yatezi nielimushe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…