Different btn java script and java

zigi 01

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
325
Reaction score
198
Kunatofauti gani kati ya JavaScript na java? Ipi ni programming language ya kuanzanayo kama beginner ambae unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza program?
 
Kunatofauti gani kati ya JavaScript na java? Ipi ni programming language ya kuanzanayo kama beginner ambae unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza program?
Java is a programming language, JavaScript is a scripting language!

Kama unataka kujifunza kutengeneza websites amza na html, css then usome JavaScript!

Kama unataka kujifunza software development soma java!!
 
Java is a programming language, JavaScript is a scripting language!

Kama unataka kujifunza kutengeneza websites amza na html, css then usome JavaScript!

Kama unataka kujifunza software development soma java!!
Huhitaji kusoma php?
 
Huhitaji kusoma php?
Php is for back end web development! Mfano kutengeneza login system kama hii ya jf na ku i link na database, sasa hapo ndio unatumia php... Sio php tu, pia ziko python na ruby!!

Kama unataka web development na unataka ku base kwenye back end basi soma php au python au ruby... Ila kama unataka front end then soma html, css na javascript!!

All in all, kwa web development bila kujali unabase front end au back end html na css ni vyema ukazisoma...
 
JavaScript na Java hazina uhusiano wowote, ni programming language mbili tofauti kabisa. JavaScript ilipata jina hilo kwa sababu za marketing kujaribu kudandia umaarufu wa Java kwa wakati huo.

Pamoja ya kwamba kihistoria JavaScript ilitumika zaidi kwenye fronted kutengeneza websites hili sio kweli kwa sasa, JavaScript unaweza kutumia kwenye backend pia kupitia node.js na kwenye desktop (Electron) na mobile application (ReactNative).

Java always ulikuwa unaweza kutumia kwenye backend, desktop na ndo lugha inayotumika katika native Android programming.
 
Kunatofauti gani kati ya JavaScript na java? Ipi ni programming language ya kuanzanayo kama beginner ambae unataka kujifunza jinsi ya kutengeneza program?
zote ni programming languages ila kwa matumizi tofauti
pamoja na majina kufanana lakini ni language mbili tofauti kabisa

JavaScript inatumika zaidi kwenye utengenezaji wa web sites while Java INA matumizi mengi toka games, websites, embedded systems na pia stand alone applications.

kama unataka kujifunza then sidhani kama uanze na java. ningerecommend c au pascal
 
Kujifunza pascal miaka hii ni kama wastage of time!! Sijasoma CS wala IT chuoni ila nilianza na java na kuielewa bila shida!!

Atleast asome C au java au akiwa na moyo apige C++!! C++ ina cover mambo mengi sana na itamuwezesha kujua OOP kwa undan sana tofauti na java!!

Mfano kwenye java hamna "direct multiple inheritance" wala mambo ya memory allocation na pointers ila haya yote kwenye C++!!

Again kama ana moyo asome C/C++ ila kwa case yake kama anataka software development asome kidogo C then akomae na java!!

Pascal BIG NO!
 
ndio maana nilisema pascal au c ili awe na basics then aje kwenye java. but it all depend anataka kuwa programmer ? aina gani ya programmer (desktop, system,etc)

kwa mimi niliosoma pascal naona kama ni moja ya lugha rahisi kujifunzia programming though haina matumizi kwenye real world. kama akimaliza pascal anaweza kujifunza java LA sivyo anaweza kusoma c.

kuanza na java moja kwa moja ni ngumu kwa wanafunzi wengi (average students)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…