wanyarwanda wengi wamekuwa wakijilinganisha na waisrael, kwamba wao hata kama ni wachache, wanazo nguvu kijeshi kuweza kuipiga tanzania. Utofauti wake nimeona ni kwamba, israel inashinda vita kwasababu kitu cha kwanza wao ni taifa la kibiblia la mungu, pili ni kwamba, israel ina umoja sana, wayahudi wana umoja wote, na hata wale waliopo nje ya israel wana umoja. Wakati rwanda hawana umoja, wamegawanyika kikabila, kiasi kwamba mhutu wa rwanda ambao ndio majority, hawawezi kushirikiana vizuri na watusi ambao ni wachache. Kwa maana hiyo ni kwamba, kagame anao maadui wengi ndani ya nchi yake mwenyewe kuliko wale waliopo nje ya nchi na kama vita ikipigwa dhidi ya rwanda kagame anayo disadvantage wanyarwanda kusaidia adui ili kumng'oa.
Kwamfano: Tanzania ikiingia kuipiga rwanda, wahutu wote wataisapoti na kuisaliti rwanda ili kumng'oa kagame aliyeua wahutu wengi mno na wakongo. Kama ilivyokuwa idd amin, majeshi ya tanzania yalipoingia uganda yalisaidiwa sana na waganda waliokuwa wanamchukia iddi amini. Ndio maana kuna umuhimu sana kwa nchi kuwa na umoja ili tusisalitiane.
Hivyo, pamoja na kwamba wapo wanyarwanda wengi hapa tz ambao wanatoa siri kwa kagame, bado kagame mwenyewe anao maadui wengi sana ndani ya rwanda kuliko nje ya rwanda, wengine ni watusi wenzake hawampendi, watapenda kuisapoti tz ili kagame atoke. Huu ni udhaifu mkubwa sana ambao tpdf inaweza kuutumia kama ikiamua kuisambaratisha ngome ya kagame, itafanya hivyo kwa kutumia wanyarwanda wenyewe.
Wanyarwanda wengi wamekuwa wakijilinganisha na Waisrael, kwamba wao hata kama ni wachache, wanazo nguvu kijeshi kuweza kuipiga Tanzania. utofauti wake nimeona ni kwamba, israel inashinda vita kwasababu kitu cha kwanza wao ni taifa la kibiblia la Mungu, pili ni kwamba, Israel ina umoja sana, wayahudi wana umoja wote, na hata wale waliopo nje ya israel wana umoja. wakati Rwanda hawana umoja, wamegawanyika kikabila, kiasi kwamba mhutu wa Rwanda ambao ndio majority, hawawezi kushirikiana vizuri na watusi ambao ni wachache. kwa maana hiyo ni kwamba, kagame anao maadui wengi ndani ya nchi yake mwenyewe kuliko wale waliopo nje ya nchi na kama vita ikipigwa dhidi ya Rwanda kagame anayo disadvantage wanyarwanda kusaidia adui ili kumng'oa.
kwamfano: Tanzania ikiingia kuipiga Rwanda, Wahutu wote wataisapoti na kuisaliti Rwanda ili kumng'oa kagame aliyeua wahutu wengi mno na wakongo. kama ilivyokuwa idd amin, majeshi ya Tanzania yalipoingia uganda yalisaidiwa sana na waganda waliokuwa wanamchukia iddi amini. ndio maana kuna umuhimu sana kwa nchi kuwa na umoja ili tusisalitiane.
hivyo, pamoja na kwamba wapo wanyarwanda wengi hapa tz ambao wanatoa siri kwa kagame, bado kagame mwenyewe anao maadui wengi sana ndani ya Rwanda kuliko nje ya Rwanda, wengine ni watusi wenzake hawampendi, watapenda kuisapoti tz ili kagame atoke. huu ni udhaifu mkubwa sana ambao TPDF inaweza kuutumia kama ikiamua kuisambaratisha ngome ya kagame, itafanya hivyo kwa kutumia wanyarwanda wenyewe.
Tuache kufikiria hayo, vita si lelemama zinaweza kuzusha front line kaskazini za marafiki zake, na kusini kwenye ziwa lenye matatizo pia, kwa matatizo tulionao ya vyama,muungano na dini tutafika wapi.
Tutaichapa Rwanda na M23 na TZ tunaingia kuwekeza kwenye madini yao ili turudishe gharama ati ....Tuacheunafki, wewe unayetaka vita ikija kaa mbele!! wewe unadhani kama punguani ataenda pigana vita ambavyo havina manufaa, eti tulimtoa Amin then tulipata faida gani??? na unajua kwanin Amini alivamia kagera??? Tanzania imekuwa mkombozi wa mataifa mengi kama south africa na zimbabwe ila tumenufaika nin mpaka tukakomboe congo???
Usidhani vita ni lelemama vijana, fikirini kwa kichwa na si huu ujinga mnaouleta hapa kila siku, Kagame alipotofautiana na Ufaransa, mfaransa hakupelekea jeshi kushambulia kigali ila leo taifa lenye umaskini wa ajabu na matumizi mabaya ya rasmali linataka vita..!!! ama kweli tumelaaniwa
Tuache kufikiria hayo, vita si lelemama zinaweza kuzusha front line kaskazini za marafiki zake, na kusini kwenye ziwa lenye matatizo pia, kwa matatizo tulionao ya vyama,muungano na dini tutafika wapi.
ukifanya mazungumzo na rwanda ya kupatana, basi M-23 watazidi kuichafua Congo. Rwanda imekuja juu sana kwa sababu Tanzania ipo ndani ya Congo kuleta amani.Hivi kwa nini hamfikirii kumaliza mgogoro na Rwanda kwa njia ya mazungumzo ? Mpaka sasa sijaona juhudi zozote za maana za kidiplomasia kumaliza mgogoro huu kwa njia ya mazungumzo...!
tofauti kati ya Israel na Rwanda ni kuwa Mungu anawapigania Israel na Rwanda inasaidiwa na Shetani.Wanyarwanda wengi wamekuwa wakijilinganisha na Waisrael, kwamba wao hata kama ni wachache, wanazo nguvu kijeshi kuweza kuipiga Tanzania. utofauti wake nimeona ni kwamba, israel inashinda vita kwasababu kitu cha kwanza wao ni taifa la kibiblia la Mungu, pili ni kwamba, Israel ina umoja sana, wayahudi wana umoja wote, na hata wale waliopo nje ya israel wana umoja. wakati Rwanda hawana umoja, wamegawanyika kikabila, kiasi kwamba mhutu wa Rwanda ambao ndio majority, hawawezi kushirikiana vizuri na watusi ambao ni wachache. kwa maana hiyo ni kwamba, kagame anao maadui wengi ndani ya nchi yake mwenyewe kuliko wale waliopo nje ya nchi na kama vita ikipigwa dhidi ya Rwanda kagame anayo disadvantage wanyarwanda kusaidia adui ili kumng'oa.
kwamfano: Tanzania ikiingia kuipiga Rwanda, Wahutu wote wataisapoti na kuisaliti Rwanda ili kumng'oa kagame aliyeua wahutu wengi mno na wakongo. kama ilivyokuwa idd amin, majeshi ya Tanzania yalipoingia uganda yalisaidiwa sana na waganda waliokuwa wanamchukia iddi amini. ndio maana kuna umuhimu sana kwa nchi kuwa na umoja ili tusisalitiane.
hivyo, pamoja na kwamba wapo wanyarwanda wengi hapa tz ambao wanatoa siri kwa kagame, bado kagame mwenyewe anao maadui wengi sana ndani ya Rwanda kuliko nje ya Rwanda, wengine ni watusi wenzake hawampendi, watapenda kuisapoti tz ili kagame atoke. huu ni udhaifu mkubwa sana ambao TPDF inaweza kuutumia kama ikiamua kuisambaratisha ngome ya kagame, itafanya hivyo kwa kutumia wanyarwanda wenyewe.
Eti ''Israel ni Taifa la Kibiblia la Mungu''!!!!!!! Hata Tanzania ni Taifa la Mungu. Hivi kuna watu duniani bado wana mawazo ya kijingajinga. Badilika ndugu.
Hatupendi vita ila tatizo la kagame maziwa makuu lazima litatuliwe kwa amani au vita. Huyu ni warlord na tangu yeye na kundi lake la watutsi waanzishe harakati zao maafa makubwa yametokea na amani imetoweka kabisa maziwa makuu. Wanyarwanda wahutu ni kama wote wako jela nchini mwao. Wakongo ni balaa; nchi yao imekaliwa na majeshi ya rwanda ambayo yanaua watu kama wanavyotaka.Tuache kufikiria hayo, vita si lelemama zinaweza kuzusha front line kaskazini za marafiki zake, na kusini kwenye ziwa lenye matatizo pia, kwa matatizo tulionao ya vyama,muungano na dini tutafika wapi.
Eti ''Israel ni Taifa la Kibiblia la Mungu''!!!!!!! Hata Tanzania ni Taifa la Mungu. Hivi kuna watu duniani bado wana mawazo ya kijingajinga. Badilika ndugu.
Tutaichapa Rwanda na M23 na TZ tunaingia kuwekeza kwenye madini yao ili turudishe gharama ati ....