History ya hizi teknolojia mbili shindani( US Vs Europe)
Wapi zinatumika zaidi
Uwezo na Teknolojia tofauti zinazotumika kuwezesha kukuza uwezo na kuboresha usafirishani wa data( Video, Voice, text). eg EVDO kwenye CDMA na EDGE na HSPDA kwenye GSM
Kuna Teknolojia ya CDMA zinatumia R-UIM card wakati GSM kuna SIM card . Hii inaweza kuwa maelezo kwa nini baadhi ya Modem za CDMA zinakuwa hazina Simcard. Ni kama simcard iko hardcoded. kwenye kifaa . Kwa hiyo ku unlock kifaa cha CDMA inaweza kuwa ngumu zaidi ya ku unlockkifaa cha GSM