M matinel Member Joined Dec 31, 2022 Posts 34 Reaction score 43 Apr 28, 2025 #1 Wakubwa kama kichwa kinavyojielezea hapo nataka nipate diff ya noah two wheels maana iliyopo inapiga kelele sana aisee sasa nataka nibadilishe sasa naomba kujua gharama yake maana naona kabisa dalili za kupigwa hapa
Wakubwa kama kichwa kinavyojielezea hapo nataka nipate diff ya noah two wheels maana iliyopo inapiga kelele sana aisee sasa nataka nibadilishe sasa naomba kujua gharama yake maana naona kabisa dalili za kupigwa hapa
M MANAKE MKARI JF-Expert Member Joined Jan 25, 2011 Posts 316 Reaction score 259 Apr 30, 2025 #2 350,000 hadi 500,000.Kuwa makini wasikupe ya Mark Two
M matinel Member Joined Dec 31, 2022 Posts 34 Reaction score 43 Apr 30, 2025 Thread starter #3 Asante bro