Kutokana na kazi yangu natumia muda mwingi nkiwa kwenye computer, nimeongezeka uzito kwa kiasi kikubwa. naombeni diet itakayonisaidia kupunguza uzito kwa muda mfupi.
wazima jamani? kutokana na kazi yangu natumia muda mwingi nkiwa kwenye computer, nimeongezeka uzito kwa kiasi kikubwa. naombeni diet itakayonisaidia kupunguza uzito kwa muda mfupi. natanguliza shukrani!
Pole sana dada, nilijua nitakuta email yako kwenye PM ila sijaikuta. Nadhani hukutuma maana sijaona hata notification, please PM your email address, nikutumie right away.