K kivinje Member Joined Jun 29, 2013 Posts 31 Reaction score 8 May 31, 2014 #1 Wakuu nisaidieni,nimenunua Nissan Navara kwa mtu,nimeendesha kidogo tu taa ya Disel Pariculate Filter(DFP) inawaka na gari linakosa nguvu kabisa.Mwenye kujua wataalam wa kuitoa hiyo taa kwa compter anijulishe,mwenzenu nimepaki tu
Wakuu nisaidieni,nimenunua Nissan Navara kwa mtu,nimeendesha kidogo tu taa ya Disel Pariculate Filter(DFP) inawaka na gari linakosa nguvu kabisa.Mwenye kujua wataalam wa kuitoa hiyo taa kwa compter anijulishe,mwenzenu nimepaki tu