Ghiti Milimo
JF-Expert Member
- Jul 18, 2011
- 5,156
- 7,696
Daaaah! Hiyo ID ya BIA ilikuwa hailali! Kila thread itakayoandikwa kumhusu JIWE, basi mchango wake utakuwepo kwenye kwenye tatu za kwanza.Mwendazake alisemekana kuwa na ID kadhaa akizitumia kwa ku zoom na kujisemea hiiiiii!
Pumzika kwa amani Bia yetu kama ni kweli ulikuwa wewe.
Daaaah! Hiyo ID ya BIA ilikuwa hailali! Kila thread itakayoandikwa kumhusu JIWE, basi mchango wake utakuwepo kwenye kwenye tatu za kwanza.
Labda Yuko na mwalimu huko Kwa maulanaIronically, tangu IMRAN - SHIMBO alivyoanzisha huu uzi, hajawahi kukanyaga tena JF. Sijui alikutwa na masahibu gani! 😆😆
Hapana, yupo. Atakuwa alipewa karipio kali na wenye nchi 😆😆Labda Yuko na mwalimu huko Kwa maulana
Watu wa pwani kivipi ongea kizaramo hata wa capetown ni wa pwani au hamjui lugha zenu?!Sisi watu wa pwani, tuna msemo, "Elam ya mout bi saifi mata bi ghairihi, tanawaat 'lasbab, wal mut wahid", bi maana: Afae kwa upanga au kwa kingine chochote kile, kifo ni kimoja tu.
Alie kufa, kafa, hata iwe sababu ipi? Kifo ni kifo
Daaaah! Hiyo ID ya BIA ilikuwa hailali! Kila thread itakayoandikwa kumhusu JIWE, basi mchango wake utakuwepo kwenye kwenye tatu za kwanza.
Aise wewe jamaa upo jf tangu 2010 basi weee ni mzee wangu kabisaNatural death ikoje na unnatural death ikoje ?
Nipo kabla ya 2010. Nilikuwapo tangu JF ni Jamboforums. Nilikuwapo kabla ya JF kuwapo. Nilikuwapo enzi za Youngafrican.com Darhotwire.com na Nyenzi.comAise wewe jamaa upo jf tangu 2010 basi weee ni mzee wangu kabisa
Mkuu mie nikikukosa Huwa najiuliza mambo mengi sana, maandiko yako ni muhimu sana hapa jukwaani Chief.Nipo kabla ya 2010. Nilikuwapo tangu JF ni Jamboforums. Nilikuwapo kabla ya JF kuwapo. Nilikuwapo enzi za Youngafrican.com Darhotwire.com na Nyenzi.com
Nilikuwapo enzi za Geocities Mailcity na Lycos.
Enzi za internet ya kabla ya Google search engine ilikuwa Yahoo.
Enzi za internet ya Yahoo directory.
Halafu leo Mcqueenen bila hata uchunguzi mdogo kabisa kaniita GenZ.
Asante sana mkuu.Mkuu mie nikikukosa Huwa najiuliza mambo mengi sana, maandiko yako ni muhimu sana hapa jukwaani Chief.
KumekuchaNipo kabla ya 2010. Nilikuwapo tangu JF ni Jamboforums. Nilikuwapo kabla ya JF kuwapo. Nilikuwapo enzi za Youngafrican.com Darhotwire.com na Nyenzi.com
Nilikuwapo enzi za Geocities Mailcity na Lycos.
Enzi za internet ya kabla ya Google search engine ilikuwa Yahoo.
Enzi za internet ya Yahoo directory.
Halafu leo Mcqueenen bila hata uchunguzi mdogo kabisa kaniita GenZ.
Dear Great thinkers. The guy has posed a qn which he xpects answers and further discussions from the jamvi. Instead, he receives flowing questions. Pls, let us discuss the issue as it sounds well
Naona mmedanganyana kwenye Vijiwe vya kahawa.I have always failed to be convinced that Mwalimu Julius Kambarage Nyerere died "A natural death!"
You were right I was wrong. Dont hold grudgesNipo kabla ya 2010. Nilikuwapo tangu JF ni Jamboforums. Nilikuwapo kabla ya JF kuwapo. Nilikuwapo enzi za Youngafrican.com Darhotwire.com na Nyenzi.com