Kaka habari za mossad na vita vyao nazijua vizuri habari za kina Eli Cohen na mission yake ya syria naijua vizuri na wala sikataai kwamba Israel inahusika kuchonganisha, Mkuu wewe ubongo wako ndio hautaki kuelewa swali langu inakuwaje majihadi wawil isis na hamas in jihad war wakachonganishwa na ------ na wanakubali wanajua wanapigania nini kwa ndio hivyo jihad maanake nini? achana na mossad na israel angalia upande wa pili wa shilingi funguka bro usijione unajua kila kitu hutapahii
ishu hii huezi iangalia kwa jicho la dini.
mbona ujerumani na nchi za ulaya walitumika kupigana vita vya pili?.
au hujui kuwa wayahudi walikua wanafinance pande zote mbili wakati huo?.
Ulikuwa hujui kuwa kuna nchi zina waislamu wengi kuliko nchi za ME. Unapotupiwa maarifa chukua badala ya kujitia ujuaji weye!Teyari umesha bwga manyanga weye. Ulifikiri vinavoelea havikuumbwa,
2changie mada 2ache maneno ya ajab mada nyng hapa jf zinaharibiwa kwa 7bu ya udini spend kbs wanaoharibu mada cio uungwana bali ni upunguwani 2 na ulimbukeni
kama huyu #ishmael kila mada huwa anaharibu cjui kazaliwa wp huyu anaboa sana m2 nzma unakua km vile una upungufu wa akili?acha ulimbukeni wa mitandao mkuu sheria ya mitandao itakufunga bure
Anti-balaka ni wakristo
ISIS ni waislam kwa ajili ya kuua waislam wenzao.Ubishi ni kwamba ISIS iko organizes and funded by JEW kitu ambacho napingana nacho
hivi inaanzaje muislam apewe hela ya kuuangamiza uislam?huyo muislam haupendi uislam????
kila baya linalotokea ndani ya jumuiya ya kiislam sababu huwa ni JEWS au USA kwa mujibu wa waislam.KWA NINI WAISLAM wasione baadhi ya matatizo husababishwa na wao wenyewe waislam????waliishangilia ISIS na sasa ISIS inaanza kuwauwa washangalw
wakati wa vita ya pili ya dunia,mashariki ya kati yote ilikua chini ya ottoman empire.
ni waingereza na wafaransa ndo walichochea waarabu wa mashariki ya kati na kurise agaisnt ottomani empire.
na matokeo ndo ottomani empire ikaajiondoa ikaingia british empire pale na baadae walikaa na kuchora nchi ambazo waligawana na france kuzitawala mpaka baadae wakaziachia.tafuta habari ya lawrence of arabia story upate kujua namna nchi za magharibi zinavyoweza kUuwatumia watu ili kufikia malengo yao
so unakuibali kuwa ISIS wanafanya kazi ya israel,au bado unataka ushahidi upi zaidi ya huo?.
kumbuka ISIS wamekua wakichinja watu kama kuku.
ndo mbinu ya wayahudi hiyo,huwa hawajali nani anakufa ilimradi watimize malengo.
juzi wamedondosha bomu la nuclear yemeni,wakati wala vita haiwahusu
Waachwe tu hao waarabu wachinjane vya kutosha. Wachinjane hadi waishe kabisa ndio maana nchi za magharibi zinawaangalia tu na wala hazina mpango wa kuwasaidia. Wanawauzia silaha za kisasa ili wauane vizuri. Kama waliweza kumuondoa Saddam Hussein kwa mwezi mmoja iweje washindwe kuwaondoa kikundi chenye wapiganaji alfu 20? Vita vya kidini ni bomu litakalolipuka kwa kishindo kikubwa sana huko uarabuni na ni mbinu ya wamagharibi kuwamaliza waislamu.
Waislam mnaponiacha hoi ni kwamba kila kibaya kibachotokea kwenye dini yenu mna mtu wa kumuangushia zigo la lawama, marekani ba izrael. jambo hata kama lina msingi katika dini yenu hamtaki kukubali mnamuangushia marekani na izrael zigo la lawama.
Ina maana waislam hao wa uarabuni hawana akili ya kukataa au kutambua mema na mabaya hadi wawe wanatumiwa kuwaua ndugu zake wenyewea marekani, maana wanauana wenyewe marekani yuko kwake useme yuko hapo karibu anawalazimisha, wao hawaji
inaonekana wewe ukiingia jf na facebook umemaliza.
soma kijana,
zipo link nyingi za magharibi ndo zinadai ISIS ni america na israel sponsored
Kama unayo sema ni kweli, kivipi Allah wenu anakuwa akbar? Kwanini Allah wenu anashindwa na nchi ya Israel? Hivi huwa mnaelewa mnacho semaga?Ishmael
so unakuibali kuwa ISIS wanafanya kazi ya israel,au bado unataka ushahidi upi zaidi ya huo?.
kumbuka ISIS wamekua wakichinja watu kama kuku.
ndo mbinu ya wayahudi hiyo,huwa hawajali nani anakufa ilimradi watimize malengo.
juzi wamedondosha bomu la nuclear yemeni,wakati wala vita haiwahusu
JE MUNGU WA WAISLAMU (ALLAH S.W) NA MUNGU WA WAKRISTO (YEHOVA) NI MMOJA?Ulikuwa hujui kuwa kuna nchi zina waislamu wengi kuliko nchi za ME. Unapotupiwa maarifa chukua badala ya kujitia ujuaji weye!
ALLAH NI KIUMBE KAMA BINADAMUWaislam mnaponiacha hoi ni kwamba kila kibaya kibachotokea kwenye dini yenu mna mtu wa kumuangushia zigo la lawama, marekani ba izrael. jambo hata kama lina msingi katika dini yenu hamtaki kukubali mnamuangushia marekani na izrael zigo la lawama.
Ina maana waislam hao wa uarabuni hawana akili ya kukataa au kutambua mema na mabaya hadi wawe wanatumiwa kuwaua ndugu zake wenyewea marekani, maana wanauana wenyewe marekani yuko kwake useme yuko hapo karibu anawalazimisha, wao hawaji
inaonekana wewe ukiingia jf na facebook umemaliza.
soma kijana,
zipo link nyingi za magharibi ndo zinadai ISIS ni america na israel sponsored
m*****k*******u*******#*.@&%#$;%;$*****n******d******uallah ni kiumbe kama binadamu
1. Allah ana uso kama viumbe
2. Allah ana vaa nguo kama viumbe
3. Allah ana kaa kwenye kiti kama viumbe.
4. Allah ana mikono kama viumbe...
continue reading
we bado huelewi,hebu weka mambo ya imani pembeni labda utaelewa.
ISIS ni jeshi la kuilipwa la israel na wanaopigana chini ya isis wanatoka mataifa mbalimbali duniani na wanalipwa na israel.
umeelewa sasa,au bado kichwa kizito?
Ishmael
so unakuibali kuwa ISIS wanafanya kazi ya israel,au bado unataka ushahidi upi zaidi ya huo?.
kumbuka ISIS wamekua wakichinja watu kama kuku.
ndo mbinu ya wayahudi hiyo,huwa hawajali nani anakufa ilimradi watimize malengo.
juzi wamedondosha bomu la nuclear yemeni,wakati wala vita haiwahusu
we jamaa niaje? bomu la nuclear au umekosea hapo kutype?