Yani waache kubeba box waje hapa tz kujiunga na praise team?
Hizo buku 7 mnazolipwa ndiyo zinawaaminisha kuwa maisha yenu ni bora kuliko wabeba box?Wabeba boksi wengi wao wanahangaikia tumbo na rent maisha magumu sana kule
😆😆Yani waache kubeba box waje hapa tz kujiunga na praise team?
Kinachowauma ni usaliti, walisomeshwa na nchi kwa fedha za walipa kodi halafu wakaona hawawezi kututumikia wananchi.
Hakuna usaliti wowote kufanya kazi nje ya nchi.Kinachowauma ni usaliti, walisomeshwa na nchi kwa fedha za walipa kodi halafu wakaona hawawezi kututumikia wananchi.
Wanaweza kushuhudia bila hata kuja. Si lazima waje physicaly.Waje washuhudie maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli
Yaan kila aliepo nje ni.mbeba maboksi.Wabeba boksi wengi wao wanahangaikia tumbo na rent maisha magumu sana kule
Wengine wanasomeshwa na serikali nje ya nchi.Kinachowauma ni usaliti, walisomeshwa na nchi kwa fedha za walipa kodi halafu wakaona hawawezi kututumikia wananchi.
Huyo ndugu yako mmoja. Ha reflect matukio ya watu wote walioko nje.Kuna ndugu yetu aliondoka akaenda sweden kaishi miaka 24 akawa kutwa kututambia maisha yalivyo mazuri kule nk akipiga picha anavyo enjoy nk siku ikafika akafiwa na mama yake ikabidi arudi.Akakuta familia nzima wamnaenda mpokea akajua ohh kawaida!!
Kilichomshangaza akakuta ndugu zake wote wana magari.Akaambiwa msiba upo kwa mdogo wake wa mwisho .Kwenda hilo jumba alilolikuta hakuamini kama ni ya mdogo wake yeye miaka 24 kakaa ulaya yuko tu apartment anapanga hana cha kuonyesha!!!
Aliondoka kimya kimya baada ya msiba kurudi sweden ambako walishampa uraia.Sasa hivi hapigi simu email ukiandika hajibu!!!
anyway diaspora chumeni muje muwekeze kwenu msije sumbua watu mkifariki mnataka michango ya kusafirisha maiti itoke Tanzania
Yapo mengi yatakayo washangaza, pale mtakaporudi, maisha hayo ya utumwa mliyonayo huko, ebu rudini nyumbani, huku nyumbani kumenoga, kama ni hizo kazi za kutunza wazee na kuosha vyombo mahotelini hata huku ziko rudini, wale ambao mlitusaliti baada ya kuelimishwa na Taifa tena bure mkakimbilia ulaya na Amerika kusaka hali bora na mishahara minono rudini huku kumeiva, ondoeni kizazi chenu katika maisha ya kubezwa na kuitwa manyani rudini nyumbani mbona tuko vizuri tu. Rais Magufuli ameiteitengeneza Nchi usipime, njooni muyafaidi machozinya ya Watanzania tulimlilia Mungu akatupa kiongozi makini Nchi inakwenda kasi usipime.