Kwa kweli hata mimi huwa naona kuwa Diarra sio wa kawaida ni level nyingine kabisa, ni suala la muda tu, tena sio muda mrefu.Diarra Yupo YANGA alafu Onana Yupo Manchester United..Life is not fair.!!
Nadhani ni wakat wa diarra kwenda kuokoa jahazi pale mwantesa united
Ayoub mwenye thamani ya bilioni 3!! 😃Atamuachia ayubu
Kibu DennisDiarra Yupo YANGA alafu Onana Yupo Manchester United..Life is not fair.!!
Nadhani ni wakat wa diarra kwenda kuokoa jahazi pale mwantesa united
Naunga mkono hoja kuwa Diara aende Man U, halafu Onana aje Ihefu, na golikipa wa Ihefu aende YangaDiarra Yupo YANGA alafu Onana Yupo Manchester United..Life is not fair.!!
Nadhani ni wakat wa diarra kwenda kuokoa jahazi pale mwantesa united
Diara na kaseja wote wanazuiwa na kitu kimoja kufika mbali ingawa ni talented players, vimo vimewaangushaDiarra Yupo YANGA alafu Onana Yupo Manchester United..Life is not fair.!!
Nadhani ni wakat wa diarra kwenda kuokoa jahazi pale mwantesa united