Diarra ni mwarobaini wa Manchester united

Diarra Yupo YANGA alafu Onana Yupo Manchester United..Life is not fair.!!

Nadhani ni wakat wa diarra kwenda kuokoa jahazi pale mwantesa united
Naunga mkono hoja kuwa Diara aende Man U, halafu Onana aje Ihefu, na golikipa wa Ihefu aende Yanga
 
Diarra Yupo YANGA alafu Onana Yupo Manchester United..Life is not fair.!!

Nadhani ni wakat wa diarra kwenda kuokoa jahazi pale mwantesa united
Diara na kaseja wote wanazuiwa na kitu kimoja kufika mbali ingawa ni talented players, vimo vimewaangusha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom