ESPRESSO COFFEE
JF-Expert Member
- Sep 6, 2014
- 6,146
- 7,676
Nimeisikiliza hit mpya ya Diamond! Ni bonge la ngoma kwa club. Alichokosea ni kuwataja wanasiasa ambao leo au kesho wanaweza wakapotea kwenye ramani na tukawasahau kabisa
Ingekuwa vizurii alipowataja wanasiasa,angewataja wasanii wakubwa au wale watu ambao sio wa politics walifanya makubwaa! Mfano angesema hata 2Pac baba laoo, Michel Jackson baba laoo na sio Makonda baba lao sidhani kama Nigeria wanamjua Makonda ni nani au Mwakiyembe ni nani hawa wanaweza tenguliwa kesho tukawasahau
All in all hii ngoma inazima vijingoma vyote vilivyo toka wikii hii/mwezi huu
Diamond baba laooo na haka katoto kaliko wekwa huku kamejitahidi kwenda na kasi