Tatizo mnajadili na mapopoma , Kwa hii issue nasimama upande wa Mond, namuombea tu mambo yamwendee vizur anapo ji-regroup kuziba pengo la huyu ndege mjanja konde boyHiv unajua how much diamond katumia kumfanya awe msanii mkubwa huyo ruge Kuna msanii gani amemfanya awe mkubwa? Kama terms na condition za contract alikubali yeyemwenyewe harmo bila kulazimishwa unataka diamond afanye Nini mbona diamond alilipa 100 m kwa kuvunja mkataba wa aliyekuwa manager wake papa misifa mbona diamond hakuwahi kulaumu.Apart yakuwa anasaidia msanii lakini pia yeye ni mfanyabiashara na analipa Kodi kubwa kwa serikali lakini pia amewaajili vijana si chini ya 100 hiv ikiwa ataendeshaa record label yake Kama charity unazani wangekuwa wanatengeneza hela? Tena naona ametumia ubinadamu angekuwa ni mnyama angezuiliwa harmo kutumia nyimbo zote alizofanya ndani ya WCB Kama makubaliano yanavyosema, wangechukua account ya youtube yake na account zake zote za social network mpaka alipe hela zote za kuvunja mkataba ambayo ni hiyo million 500 lakini wamemuachia huku alilipa taratibu.kama mil 500 unaona ni kubwa vp kuhusu kiss Daniel anaedaiwa bil 1 na record label yake ya zamani kwa kuvunja mkataba utasemaje?
nina uhakika hujasikiliza hio interview... umehadithiwa vijiweni huko..Rich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii
harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo
rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je yeye watamtoza bei gani ameambiwa kuvunja mkataba milion 400
hans stone ameshindwa kusaini mkataba na wasafi sababu mkataba ulikuwa wa miaka 20
Kama hujawahi ingia you tube, au umewahi na huijui you tube vizuri ni vema kubaki kimya. Hapa ni kuonyesha umma level ya ujinga wako.Kwani yope Ni wimbo wake ??? Au hujui hata huko YouTube huu wimbo haupo kwenye account yake . Hii nchi imejaa wajinga Sana Kama wewe
Hata Mond mwenyewe kuna ambao walimtoa jalalani Tandale had pale alipo, hakuna aliyefika juu bila kusaidiwa,.nadhan tuongelee mikataba yao, ila kuhusu kusaidiwa hata yeye kufika pale alipo alisaidiwa'vijana waliosaidiwa na mond wakumbuke walikotoka na hapo walipo leo hii ukizunguka mtaani kuna wasanii weng hawjui watokee wapi msanii kujenga nyumba tatu kwa miaka mitatu tu sio jambo dogo wakina yamoto walitoka ata pesa yakulipa kodi walikuwa hawana
Tatizo huyo harmonize anaonekana kama amefanyiwa unyonyaji wakati aliyataka mwenyewe kusign mkataba akiwa na akili timamuHata Mond mwenyewe kuna ambao walimtoa jalalani Tandale had pale alipo, hakuna aliyefika juu bila kusaidiwa,.nadhan tuongelee mikataba yao, ila kuhusu kusaidiwa hata yeye kufika pale alipo alisaidiwa
Msikilize Master J labda utaokota jamboRich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii
harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo
rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je yeye watamtoza bei gani ameambiwa kuvunja mkataba milion 400
hans stone ameshindwa kusaini mkataba na wasafi sababu mkataba ulikuwa wa miaka 20
Nakupa na hii kabla Chibu hamjua Konde BoyRich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii
harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo
rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je yeye watamtoza bei gani ameambiwa kuvunja mkataba milion 400
hans stone ameshindwa kusaini mkataba na wasafi sababu mkataba ulikuwa wa miaka 20
Kaangalie vzur acha ujinga wwKwani yope Ni wimbo wake ??? Au hujui hata huko YouTube huu wimbo haupo kwenye account yake . Hii nchi imejaa wajinga Sana Kama wewe
Hata Mond mwenyewe kuna ambao walimtoa jalalani Tandale had pale alipo, hakuna aliyefika juu bila kusaidiwa,.nadhan tuongelee mikataba yao, ila kuhusu kusaidiwa hata yeye kufika pale alipo alisaidiwa
Ulikuwepo?Bao lako bora maza ako angelinywa akalimeza hivi unajua vipengele vingine vilivyokuwa ndani ya huo mkataba? Huwezi weka mkataba kuwa kampuni itakukadiria ukitaka kutoka unajua kuwa mondi mara ya kwanza alitaka milion 200 ila roho mbaya ya mama dangote akawaa anashinikiza iwe milion 800? Usiseme kitu kama hujui
Yope ipo kwenye account yako, wewe mk**ndu?Kwani yope Ni wimbo wake ??? Au hujui hata huko YouTube huu wimbo haupo kwenye account yake . Hii nchi imejaa wajinga Sana Kama wewe
Wewe zamu yako lini kunyonywa ?Walikua wanalia mitandaoni kwamba clouds ni wanyonyaji kumbe wao nao ni wanyonyaji mambo leo
Kurogana na kuombeana mabaya..Watanzania sijui tunapenda nini.
Ruge aliyekuwa anasemwa mnyonyaji alikuwa hatumii gharama zake kuwapandisha hao wasanii??Wewe ulitaka awatoze sh ngapi?
Ila kuna watu ni wajinga sana !
Unafahamu lolote kuhusu mikataba ?
Unajua yeye diamond katumia sh ngapi mpaka watu hao wakakubalika na jamii
Narudia tena hili swali unajua lolote kuhusu mikataba ?
We jamaa hilo bao bora mshua wako angepiga puli..
Hivi mkataba wa harmo kwa akili yako unadhani ulikua na thamani ya sh ngapi kwa ukubwa wa harmo??
Mimi naona hata mil 500 ni ndogo sana kwa jinsi harmonize alivyo msanii mkubwa..
Pia wakati wanasign hio mikataba kwani walisignia bar?? Mbona kusign walikua kimya lakini kwenye kuvunja wanakuja hadharani kutafuta huruma ya watu.
Ushahid uko wap?Rich mavoko alipotaka kuvunja mkataba aliambiwa atoe milion 250 akachemka matokeo yake kila kitu akampoka mpaka akaunti za kijamiii
harmonize alipotaka kujitegemea akaambiwa atoe milion 500 kuvunja mkataba kisha na gharama za kurecord kila nyimbo
rayvanny alijaribu kuuliza ki utani utan je yeye watamtoza bei gani ameambiwa kuvunja mkataba milion 400
hans stone ameshindwa kusaini mkataba na wasafi sababu mkataba ulikuwa wa miaka 20
Ishu za ruge sizijuiRuge aliyekuwa anasemwa mnyonyaji alikuwa hatumii gharama zake kuwapandisha hao wasanii??