Diamond Platnumz unakosa heshima kwa Ruge, umemtaja Kusaga pekee

Lakini aliulizwa diamond kwenye interview yake akiwa na koffi akadai management yake (Salam )ndo imehusika kwa kila kitu, na koffie mwenyewe alithibitisha. Hizo tabia za kujiongeza kwenye kila kitu uache mkuu😂😂.

Kwamba koffie hawezi kufanya collabo na mond mpka KUSAGA aruhusu au🤔?
Kwenye show ya koffi mliman city alisema yy mwenyewe kuwa kwa east Africa meneja Wake ni kusaga na kama mtu anamwitaji yy Kuja east Africa lazima acontact na kusaga
 
Jamaa hp4510 anakwambia koffi ameletwa na kusaga😂😂.
Wapi nimesema kusaga kamleta
Nimesema koffi alisema kwa Africa mashariki yy meneja Wake ni kusaga na kama mtu yoyote atamwitaji lazima acontact na kusaga

Sasa no matter Nani kamleta ila huyo alie mleta ni lazima aliwasiliana na kusaga coz ndio meneja wa koffi east Africa

Ni kama ww ukitaka kumpata diamond ni lazima utawasiliana na wakina salaaam na babu tale hata kama nauli na kila kitu utatoa ww
 
Halafu sijui kwa nini anamuita uncle wakati anajifunika shuka moja na mama yake
Hahaa kimjini mjini iyo chief..wazee wakuwasabahi masingo mama watanielewa mara nyingi utakuta mtoto anaambiwa muamkie anko sasa ile anko anko kila siku jina linashika
 
Diamond Platnumz kwenye hili limenisikitisha sana hapa namuona Diamond alikosa utu nakushindwa kutoa fair kwa Ruge hatakama walikuja kuwa naugomvi lakn Ruge alikua na mchango mkubwa sana kwa Diamond hapa alipofika leo kituchochote chenye mafanikio mwanzo huwa mgumu sana ikumbukwe bila CLOUDS Media Diamond huwenda asingefika hapa alipofika sasa.
acha kupangia watu maisha wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom