I Isack inno B Member Joined Oct 28, 2012 Posts 97 Reaction score 51 May 21, 2018 #1 DIAMOND PLATNUMZ - SINIZA Ni nyimbo ambayo haijatoka rasmi ila ni nzuri sana, aina hii ya Bongo flavour ni muziki halisia wa kitanzania. Jaribu kuisikiliza hapa na toa maoni yako
DIAMOND PLATNUMZ - SINIZA Ni nyimbo ambayo haijatoka rasmi ila ni nzuri sana, aina hii ya Bongo flavour ni muziki halisia wa kitanzania. Jaribu kuisikiliza hapa na toa maoni yako
Chaliifrancisco JF-Expert Member Joined Jan 17, 2015 Posts 26,542 Reaction score 81,342 May 21, 2018 #2 Kwahiyo na wewe unaendelea kuvujisha?
nusuhela JF-Expert Member Joined Jan 26, 2014 Posts 6,463 Reaction score 8,098 May 21, 2018 #3 Kwakua kafanya diamond, hii ngoma kali
Okinawan JF-Expert Member Joined Apr 10, 2018 Posts 254 Reaction score 261 May 21, 2018 #4 Hivi huyo dada aliyeshikwa matak hapo kwenye picha anajisikiaje?
Reginald L. Ishala JF-Expert Member Joined Jun 18, 2011 Posts 3,810 Reaction score 6,801 May 21, 2018 #5 Kwa hiyo imevuja!?