Diamond Platnumz na Mafikizolo watinga bungeni

duh huyu Mafikizolo kavaa nini hapo....mambo ya kulazimisha maana anaonekana ni si mtu wa suti na nadhani jitihada imetumika kumlazimisha kuondoa zile shanga za shingoni
 
Special wapi jaman kwenda bungeni ni kawaida sanaaaaaa?
 
duh huyu Mafikizolo kavaa nini hapo....mambo ya kulazimisha maana anaonekana ni si mtu wa suti na nadhani jitihada imetumika kumlazimisha kuondoa zile shanga za shingoni
Hahahahahahaha
 
Sidhani kama kwa umaarufu walionao Mafikizolo kule Bondeni wanaweza kutinga Bungeni kirahisi rahisi tu... Eti kwenda kutembea, Halafu nini kinafuatia baada ya hiyo ziara[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]
 
Yaaan umaarufu wao unacompare na bunge tukufu la jamhuri ya muungano? SMH
 
Sikumchagua mimi, kura yangu moja made nuh difference
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…