DELETED ACCOUNT
JF-Expert Member
- Mar 25, 2010
- 9,805
- 15,472
Hayo mawazo yako na chuki zako binafsi.Kwani wasanii wote waliotamba wana dance zao binafsi?
Hebu nitajie dance binafsi ya Burnaboy,Patoranking,2 face Idibia?
Eti,msanii hana jipya,hana jipya kwako,msanii na show zaidi ya 90 karibia kila mwaka,hebu nitajie wasanii watano tu Africa wenye utitiri wa show kama Diamond.
Makonda ana mchango gani katika kupeleka mziki wa Diamond mbele?
Mbona Steve Nyerere na Bongo movie kila siku wapo na Makonda lkn hamna hata mmoja aliyefikia level za Kanumba.

Mshamba mwingine huyu 'huwe' ndio niniWe mjanja imba huwe level moja na Davido
Kutumika vibaya kivipi ?Mada yangu ukiirukia kwa haraka unaweza ukadhani nina chuki binafsi. Ila ukweli ni kuwa kipaji cha Diamond kimetumika vibaya labda kutokana na ushauri anaopewa na watu wa karibu. Siyo watu wenye maono ya mbali.